Diamond Platnumz - Kosa Langu Lyrics






Barua yako uliyotuma kwa Ricardo momo nimeisoma
Ila nimechelewa kuijibu sababu moyoni imenchoma
Nliyo yategemea
Tofauti na nlicho kiona
Hata naandika hii barua
Huku roho yangu inansonona
Umesema nichane nguo
Pia funguo umeirudisha sawa
Simu niziweke kituo na sio chaguo
Nikome kabisa sawa
Umesema hata ile picha nzuri nliyo kukumbatia
Niichane sawa
Ila kinachoniumiza
Mbona moja umesahau

Kosa langu, kosa langu
Hujaniambia
Na kuniacha peke yangu
Ukanikimbia
Ila mbona kosa langu
Hujaniambia
Nami nikabiki peke yangu
Ukanikimbia

Mbona ukanichimbia kaburi
Ningari bado mzima
Niife nizikwe vizuri
Nipotee kabisa kimya
Licha ya matendo mazuri
Kwa upendo na heshima
Moto ukachochea tanuri
Ukachoma wangu mtimaa
Natamani hata ningepata nafasi
Muda wakati kukutazama
Unione hata japo sura
Unitazame macho yangu
Mwenzako wimbi limenipiga kasi
Langu jahazi limezama
Mnyonge mwana sanura
Wee ndio ulikuwa furaha yangu
Tatizo hata nkilia wa kunifuta machozi sina
Sawa na gari lisio na gear
La kuiforce ipande mlima
Ndio maana siishi kulalama
Japo jibu moja tuu
Linaloniumiza
Mwenzio bado sijaelewa

Kosa langu kosa langu (kosa langu)
Hujaniambia (hujaniambia)
Na kuniacha peke yangu (peke yangu)
Ukanikimbia (ukaenda)
Ila mbona kosa langu (kosa langu)
Hujaniambia (hujaniambia bado)
Nami nikabi peke yangu (peke yangu)
Ukanikimbia (ukaenda ooh)

Oh moyo
Moyo wangu umevunjika una magongo
Oh moyo
Kila sehemu nayoshika kinyamazongo
Oh moyo
Hata chozi likifutika linabaki tongo
Oh moyo
Najitahidi kulidhika ila nna kinyongo
Oh moyo
Moyo wangu umevunjika unaa jamani
Oh moyo





Other Lyrics by Artist

Rand Lyrics

Last Posts

Diamond Platnumz Kosa Langu Comments
  1. J.... C....

    Kosalangu hujaniambia naikubali sana ngoma kwasiku nasikiliza mala tatu mashahiri yameturia 30/1/2020

  2. H.... S....

    Nausikiliza hapa 24/01/2020 wimbo wangu bora kabisa sharati kwa jini mondi

  3. r.... s....

    Ipo sawa fundi.

  4. j.... s....

    21/1/2020

  5. N.... B....

    Kosa unalo mutu anakupamoyo wake weye kirasiku michepuko joshida yako urimukoseya zari namichepuko unajuwagtsi miripedezaka sasa unataka namiye unichezeye diamond miye nirisha ona weye hautabiriki

  6. M.... B....

    Wow nice song but very sad

  7. A.... a....

    Kama na wewe uki hisi kiliza uhu wimbo unajiisi feeling's gonga like tujuwane na kama upo utazama 2020 gonga like

  8. D.... A....

    Unaepita hapa 2020 tujuane please

  9. J.... P....

    2020👂👂

  10. W.... T....

    2020 inakua na raha zake

  11. e.... D....

    Wawapi wa 2020 twende nalo....

  12. s.... P....

    Naona namkumbuka sasa JESH

  13. H.... r....

    Hii nyimbo nakumbuka diamond alikuwa anatuimbia mtaani ilikuwa mwaka 2007 enzi hizo Ana haso Sana muda Sana nakumbuka Ricardo momo alikuwa anauza chips dah muda sana

  14. M.... R....

    Kweli kabisa baba lao!!!!

  15. L.... K....

    Diamond is a real DIAMOND, hard to beat and crack! kweli wewe ni #babalao

  16. L.... P....

    Who is here 2020

    🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁🦁

  17. F.... N....

    31/12/2019 nauaga mwaka na nyimbo zangu pendwa

  18. C.... M....

    Actually this song is not about zari ...it's a true story that actually happened ....Ricardo momo speaks about it in wasaf block 89 ...talkin about how back in the day before diamond blew up he used to chase after this girl and momo would get messages from this girl to diamond who ended up rejectim him ......true story #facts

  19. s.... B....

    mwaka 2020 wapi like zenu!

  20. Q.... R....

    Like kwenye kisa lng

  21. R.... N....

    .....biti la kiutu uzima m-baba chybbbu🤘💬

  22. A.... R....

    Who is still listening to this song

  23. L.... W....

    Nakuaga najikaza lakini like napataga moja tu jameni mbona....diamond nawe hadi kifo wewe 254

  24. L.... S....

    HILI NGOMA LA SIJIKA SANA MOYO

  25. A.... J....

    Laizer unaweza aisehe nikisikia merodi ya nyimboo am happy atr sante dangote bwanaaa

  26. S.... O....

    Diamond😇😇your songs drive me crazy ooo😧👑simba baba lao

  27. M.... A....

    Best african artist ever gonga like basi🇰🇪🇰🇪

  28. H.... M....

    Sijui kamuimbia nani leo 🤣🤣😜😜😜mana kuiba ndo kazi

    H.... M....

    moja ya madem aliowataka alaf dem katoa namb anampigia akamueka laud speaker,jamaa wakamcheka badae dem anatuma salam za kejel😀😄 true story go en watch to last period on wasafi tv

  29. M.... B....

    Nipeni likes za mwisho wa mwaka 1/2019/ December 🎶🎶🎶🎶@diamondplatnumz #wcb4life🙏

  30. Y.... H....

    Mbona ukanichimbia kaburi ningali bad mzma nife nizikwe vzr npotee kabisa kmyaa!! Daah! Nani kailewa Kama mm??

  31. A.... M....

    Nani kaisi ii ngoma kaimbiwa zari kama mimi

  32. h.... S....

    Wale wa 2019 mpo kama waikubali gonga like❤

  33. B.... M....

    Diamond huu wimbo ujautendea haki kuto ufanyia video

  34. P.... A....

    💥🔥🔥🙌

  35. M.... A....

    This song needs a video man 🙌🏿

  36. F.... A....

    Kama bada wajienjoy na kosa langu 2019 gonga like

  37. M.... p....

    😍🤩😍🤩

  38. M.... M....

    Me napend kwel ukiimba nyimb kam hiz za mapenz 🔥

  39. N.... C....

    Who's here in November

  40. s.... h....

    Nani Ako nami😍😍😍 Simba mkali sana

  41. H.... J....

    Huyu jamaaaa mungu, amemtunuku,

  42. B.... 4....

    🔥🔥🔥🔥🔥❤️drop vedio plz

  43. H.... C....

    Je ne comprends pas comment Diamond a pu me toucher musicalement parlant.... incroyable! Kosa langu sera joué le jour de mes funérailles.   2019-....until 2080 we will still listening this sound. i'm lover of bonga flava 4ever from belgium/cameroon +33, +237    <3

  44. i.... m....

    Licha matendo mazuri upendo na heshima mad of this song🥺😭😭✌️🔱⚠️🔱🥺🙌🤔🤪🇰🇪🇰🇪🇰🇪✳️👁🤫🤫🤫🤫🤫🤫

  45. I.... A....

    Bdo cjaona kama mond wallah anaweza mungu amuweke cmba wetu

    I.... A....

    Machoz yananitoka kwa nyimbo hi mond fund

  46. M.... A....

    I love this guy talent !😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  47. K.... T....

    Ooh my G😣

  48. F.... K....

    who watching this in 2022

  49. Z.... U....

    Acha ufanikiwe Diamond unaweza

  50. A.... I....

    Stop fake crying when it’s you that cheated🙄🙄🙄

    A.... I....

    It's never that serious ..its nt a real life issue it's just a song

    A.... I....

    It is coz it happened to him in a real life,for you it’s just a song but for him it’s how he feels deep in his heart,he regrets that he did

    A.... I....

    @Asha Ibrahim did you have a discussion with him....that's song n ya kitambo ata kabla hajaachana n zari.its jst that he is rly good in bodying the song

    A.... I....

    🤨🤨 I see it on social media how he f**ked up so save your words,I don’t have to talk to him in person

    A.... I....

    Stop hating girl

  51. A.... J....

    2019 watch again

  52. T.... M....

    Zarii njoo uchukue ujumbe wako uku

  53. A.... b....

    We unampenda mama tiffah ila unajikaza kisabuni

  54. s.... m....

    Si mchezo

  55. F.... A....

    Wamblabez wapi likes zenu ya 2019💪

  56. T.... K....

    One of my favorite song in this album a boy from tandale

  57. f.... k....

    Listening October 2019...Wakenya❤❤

  58. E.... L....

    *Nani anaskiliza 2020?*

  59. A.... m....

    Kenyan piteni na likes ...

  60. E.... M....

    @SIMBA KOSA LANGU ya mwisho kwa my X-G bt sawa tu

  61. M.... t....

    SImba ww ni nomaaa

  62. C.... N....

    😳🥰🥰🥰💃🏾

  63. J.... M....

    Ni zari ameimbiwa huo ndo ukweli from 254

    J.... M....

    Who told you it's his real life 😂dont just assume

    J.... M....

    Za zari ilkuw utanipenda..n baila alimwimbia zari like 3 yrs ago wkiwa vacation lkn akaitoa last year

  64. H.... H....

    Nice song

  65. F.... N....

    The only song I repeated trillion times much love from Somalia 🇸🇴 Diamond Platinumz🔥🔥🔥

    F.... N....

    Me too 🎺

  66. J.... J....

    Wimbo mzuri sana pia i suggest muwatch hii.
    https://youtu.be/FrBMJJL3Mv0

  67. o.... M....

    Kama unaisikiliza mwaka huu twend sawa

  68. S.... m....

    Moto sana

  69. S.... A....

    Daimondi platinum Viva kwa ko hakika hinyimbo imenigusa vilivyo

  70. A.... B....

    ivi kosa langu nini hasa mpaka mninyime izo like,e

  71. L.... 2....

    🔥🔥🔥

  72. I.... K....

    I dont understand language ,but i love African songs 😍🥰💃

  73. T.... M....

    Dot panik bro

  74. b.... a....

    Tu es juste waw ta voix est unique à toi.
    Je n'aime pas les commentaires en ligne Je t'ai écoutée des années mais aujourd'hui il faut que je commente.
    C'est un jour particulier pour moi et c'est comme si tu est là pour moi car ta musique est la.
    Je partage mon bonheur

  75. M.... P....

    Mie niteam kiba ila ukweli kwamba mond anajuaaa sana

  76. P.... N....

    Kwa tulio achwa bila kujuwa makosa yetu kama simba alivyo toswa like na comment apa ili twende sawa

  77. T.... A....

    Very very Nice song👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻yani every song i listen is better than other bro!! Mashallah u are really musician darlig 💎!

  78. A.... M....

    Hapo katisha sana tuu kinoma san

  79. C.... v....

    Nmeelew nn mana ya hii nyimbo ĺeo imenitokea

  80. J.... j....

    Official video lini??

  81. S.... N....

    Simbaa unatishaa wimbo mkaliii Sana'a pia bonge ma message

  82. M.... B....

    Simba nimeelewa ILe mbaya

  83. J.... B....

    👏👏

  84. A.... M....

    Nice simbaa

  85. Y.... N....

    Love you diamond nice song nimeipenda sana kosalangu kosalangu ujanambia

  86. T.... J....

    Narok, Kenya, jamani mnipe likes!

  87. a.... m....

    Mungu azidi kuku weka brow maana una upendo sana haija wai kutokea toka mziki wa tanzania kupata mwana mziki kama wewe neva

  88. E.... J....

    kwa heshima gonga like mkali wangu

  89. E.... J....

    hpo kwenye kuchimbiwa kaburi daaaaaaaaaa

  90. E.... J....

    ohhhhhaaaaa hatareeee

  91. z.... Y....

    Wow hit song zombie