Diamond Platnumz - Baila Lyrics






Kama unanipenda sana
Umaarufu weka mbali
Na ile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze madale
Isiwe kesho madrama
Napigiwa simu na tale
Hadi insta natukanwa
Umeshaanzisha kwale

Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe

Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama

Muziki vita
Hawataki niendelee
Hivyo ukipata nafasi
Tafadhali niombee
Na nyumbani visa
Ndugu zangu wazoee
Itaniumiza nafsi
Ikifikia musiongee
Na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao
Tahadhari sana
Si unajua wanamuziki vitabia vyao
Wamejawa tamaa
Oh na! na dada zangu mawifi
Chunga nyendo zao
Usipelekwe mlama
Wakikwambia kaniki mara chota nyayo
Jua mumewe nakwama, ah...

Utamu wa big g ni kutafuna
Usimeze uroda
Ongeza tu bidii kunikuna
Sio kuniroga
Kunikomba zaidi
Pika nguna nitaleta mboga
Unipe na kabibi kwetu suna
Nishushie na soda

Moyo wangu
Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda akinidharau
Moyo wangu
Hodari wa kugawa wa kunipa sina
Moyo wangu
Ndio maana nasisitiza usije na wewe

Baila baila baila (oh bailando oh)
Baila baila baila (baila kipenzi)
Baila baila baila (eeh eeh)
Baila mama (bailando oh)
Baila baila baila (baila kidogo)
Baila baila baila (baila nione)
Baila baila baila (eeh eeh)
Baila mama (bailando oh)

Usiseme u love me
Then you lying
Usiseme u love me
Then you lying
Usiseme u love me
Then you lying
Usiseme u love me
Then you lying

Baila baila baila
Baila baila baila
Baila baila baila
Baila mama
Baila baila baila (oh baila)
Baila baila baila (baila kipenzi)
Baila baila baila
Baila mama

Obrigado...





Other Lyrics by Artist

Rand Lyrics

Last Posts

Diamond Platnumz Baila Comments
  1. C.... m....

    Gosto muito dos vídeos

  2. C.... m....

    Gosto muito

  3. d.... i....

    kk nataman kuona kaz nzur km hz zaid n zaid ubunifu, ubora utofauti n international zaid🙌🙌🙌 siichokagi hii nyimbo

  4. J.... J....

    20/02/2020 still hit song

  5. B.... T....

    My best ballad 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🌟🌟🌟

  6. a.... p....

    Jumapili ya leo tarehe 16
    Naangalia upya video

  7. W.... '....

    Looks like Saans from Jab Tak Hai Jaan starring Shah Rukh Khan

  8. I.... P....

    Lyk if u still playing this song in feb 2020

  9. E.... E....

    love you Simba!

  10. B.... A....

    Less sing along Diamond Plutnumz - BAILA LYRICS
    [Verse 1]
    Hhhmm
    Kama Unanipenda sana
    Umaarufu weka Mbali
    Na ile nyumba ni ya mama
    Hivyo usiwaze Madale
    Isiwe kesho madrama
    Napigiwa simu na Tale
    Hadi Insta natukanwa
    Umeshaanzisha kwale
    [Bridge]
    Moyo wangu
    Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
    Moyo wangu
    Nateseka sana nayempenda akinidharau
    Moyo wangu
    Hodari wa kugawa wa kunipa sina
    Moyo wangu
    Ndio maana nasisitiza usije na wewe
    [Chorus]
    Baila Baila Baila
    Baila Baila Baila
    Baila Baila Baila
    Baila mama
    Baila Baila Baila
    Baila Baila Baila
    Baila Baila Baila
    Baila mama
    [Verse 2]
    Hhhmm
    Muziki vita
    Hawataki niendelee
    Hivyo ukipata nafasi
    Tafadhali niombee
    Na nyumbani visa
    Ndugu zangu wazoee
    Itaniumiza nafsi
    Ikifikia musiongee
    Na mashemeji kwa ofisi unapocheka nao
    Tahadhari sana
    Si unajua wanamuziki vitabia vyao
    Wamejawa tamaa
    Oh na! na dada zangu mawifi
    Chunga nyendo zao
    Usipelekwe mlama
    Wakikwambia kaniki mara chota nyayo
    Jua mumewe nakwama
    Aaah Ah!
    Utamu wa Big g Ni kutafuna
    Usimeze uroda
    Ongeza tu bidii kunikuna
    Sio kuniroga
    Kunikomba zaidi
    Pika nguna nitaleta mboga
    Unipe na kabibi kwetu suna
    Nishushie na soda
    [Bridge]
    Moyo wangu
    Mwepesi kupenda ila ngumu kusahau
    Moyo wangu
    Nateseka sana nayempenda akinidharau
    Moyo wangu
    Hodari wa kugawa wa kunipa sina
    Moyo wangu
    Ndio maana nasisitiza usije na wewe
    [Chorus]
    Baila Baila Baila (Oh Bailando Oh!)
    Baila Baila Baila (Baila Kipenzi)
    Baila Baila Baila (Eeh eeeeh)
    Baila mama (Bailando Oh!)
    Baila Baila Baila (Baila kidogo)
    Baila Baila Baila (Baila nione)
    Baila Baila Baila (Eeh eeeeh)
    Baila mama (Bailando Oh!)
    [Hook]
    Hhhmm
    Usiseme u love me
    Then you lying
    Usiseme u love me
    Then you lying (aaaah!)
    Usiseme u love me
    Then you lying
    Hhhhmm
    Usiseme u love me
    Then you lying aaaa (aaaah!)
    [Chorus]
    Baila Baila Baila
    Baila Baila Baila
    Baila Baila Baila
    Baila mama
    Baila Baila Baila (Oh Baila)
    Baila Baila Baila (Baila Kipenzi)
    Baila Baila Baila
    Baila mama
    [Outro]
    Heheheh Obrigado Irena Poet Deacon

  11. B.... L....

    My all time favourite. zima ngoma zote this is my best song

  12. M.... O....

    Call him Naseeb Abdul

  13. z.... &....

    If you comment in 2020 ,like

  14. S.... S....

    Hili denu baya kinyama 😂

  15. N.... M....

    Baba lao

  16. H.... S....

    Nice song

  17. S.... S....

    Who watch this year 2020

  18. A.... A....

    Baila 2020 0202

    A.... A....

    Músic vita amimo Moçambique

  19. P.... L....

    I am in love with this song and I would like to dedicate this song to MY sweet heart wherever you are

  20. D.... j....

    Who is hire 2020

  21. H.... S....

    2020 mko wapi

  22. S.... S....

    Unlimited please only message please

  23. h.... w....

    Very nice song for us to enjoy

  24. m.... S....

    2020 here i come!!

  25. �.... �....

    شي رمنسي جميل

  26. c.... o....

    Baila 2020

  27. H.... A....

    I ike this song

  28. A.... D....

    Kama ati sasa unaangalia ngoma hii weka Like apa tujuane tim simbaaaaaaaaa

  29. I.... M....

    Diamond we ni shidaa

  30. M.... R....

    2020 tishaaaaaa

  31. B.... e....

    Who else is watching baila in january 2020

  32. K.... M....

    Kama hunasikilizia hizi nyimbo mwaka wa 2020 gongeni like zenu hapo tumpelekee mondi

  33. c.... p....

    Is it just me or does he stole intro from saans sharu khan🤣🤣

  34. E.... A....

    Cute voice

  35. F.... k....

    Aaa utamu wa Big G ni kutafuna
    Usiumeze uroda
    Ongezatu bidii kunikuna sio kuloga
    Kunikomba zaidi pika nguna
    Ntaileta mboga

  36. Y.... T....

    Tanzania to the world #TheHunterVEVO

  37. K.... M....

    Nyimbo kali,,, ila hapo mwisho sio obrigada,,,, ni obrigado kwa kuwa u jinsia ya kiume

  38. J.... m....

    🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧🎧 nakubali 2020

  39. J.... Y....

    Wangapi tunaangalia hii nyimbo 2020

  40. �.... �....

    جديد مرحبة

  41. k.... b....

    Nyodoo😍😍😂

  42. D.... O....

    2020 ❣️and i still love this song

  43. S.... H....

    Nice song

  44. F.... M....

    2020...who is here??Diamond you are loved!

  45. D.... M....

    Music top

  46. A.... O....

    WOW ,WONDERFUL SONG, i LOVE IT.

  47. F.... N....

    1/1/2020

  48. T.... M....

    2K20 aye 🤘🏾🇰🇪

  49. j.... j....

    01/01/2020 we here

  50. G.... J....

    Twenden nalo 2020

  51. H.... B....

    Tujuane 27/12/2019 .

  52. r.... k....

    This songs are so good

  53. A.... A....

    Video amecopy sharukhan movie ya jab tak hei jaan

  54. S.... M....

    Diamond Platnumz 💎👌😍👌❤🔥💞👏👌 Balia SAMIR

  55. M.... J....

    Diamond baby love you bae

  56. �.... �....

    اهلا انا عربي بحب هاذي الغنية هاذي كثيرا بس اغلبني انهبطها للهاتف لي ماذا

  57. M.... M....

    My watching lately ends at 0:33. Show is over.

  58. T.... L....

    This song can heal cancer!🎶💎🇹🇿

  59. D.... B....

    Music of the century

  60. Y.... M....

    HOMMIE UNAWAKIMBIZA KWENYE MUSIC INDUSTRY
    SALUTE ZOTE 100%

  61. Y.... M....

    AND YOU ARE SIMBA OF BNGO FLEVOUR

  62. P.... J....

    naomb like

  63. A.... M....

    top top top top

  64. A.... A....

    Kama unanipenda sana
    umaarufu weka mbale
    Na ile nyumbani ya mama
    Hivyo usiowaze madale

    Isiwe kesho madrama
    Pigiwa simu na tale
    Ti Insta natukanwa

    Umeshaa anzisha kware
    Only moyo wangu
    mwepsei kupenda
    na mgumu kusahau
    Moyo wangu nateseka sana
    Naipenda kimdarau
    Moyo wangu hodari kugawa wa kunipa sina moya wangu

    Ndo maana nasisitiza
    Usjiende wawe

    Baila baila baila
    Baila baila baila
    Baila baila baila
    Baila mama ×2

    Amuziki vita hawataki niendelee
    Hivyo ukipata nafasi
    Tafadhali niombee

    Na nyumbani Visa
    ndugu zangu wazoee
    Itaniumiza nafsi
    Ikifika msiongee

    Na mashemeji kwa ofisi
    Mnapocheka nawo
    Tahadhari sana

    Si unajua wanamuziki vitabia
    Vyao wamejaa watama

  65. Y.... J....

    I love this song so much even thou I don´t understand the words. But I feel much love in the music and the video. You make wonderful music, listening every dag. Hoping one day to see you perform. Much Love from me in Sweden

  66. K.... T....

    Naitazama sasa🔥

  67. l.... i....

    I spent a lot of time in Tanzania and I LOVE this type of music. Big love from Germany 🇹🇿❤️🇩🇪

  68. H.... S....

    This song is Life..WHO IS STILL HERE WITH ME ON DECEMBER 2019..
    Like Kabla Mwaka haujaisha Next Year tuanze na MAFANIKIO PAMOJA

  69. P.... J....

    Big tune

  70. k.... k....

    nameielew

  71. N.... H....

    Tamu kama imetoka leo itabakia kua tamutuu no exp nani yupo na mm hadi 4/12/2019.like bas

  72. W.... N....

    Tufunge 2019 na ngoma poa....Swahili, the sexiest language in the world ❤
    *#2020BongoBreaksTheWorld*
    #FromKEwithLove #FromLAwithLove

  73. F.... N....

    December 2 ,2019 sweet songo

  74. e.... v....

    Who with me december 2019

  75. M.... A....

    Still watching this video up to now, diamond we ni baba lao

  76. S.... O....

    Hodari wa kugawa wakunipa sina

  77. S.... T....

    I,M Subscribing To Every in Youtube Then Subscribe ma Chenel ! Help with each other

  78. R.... R....

    goma nililokuwa nalisubili kinoma yn baila in fire (usiseme love thy u lie)

  79. S.... R....

    Amo essa música 😍2019

  80. e.... p....

    huyu ndio simba myama baba lao

  81. A.... c....

    👍👍👍👌👌👌👌👌👍👍👍👍👌👌👌👍👍👍👍👍👍👌👌👍😥😥😥

  82. A.... k....

    Sat.23.nov.2019.
    Baira..
    Real bongo flavor

  83. P.... y....

    Wow🔥🔥🔥

  84. R.... J....

    Kweli baba lao noma

  85. H.... A....

    nimekubal loh!

  86. B.... F....

    Diamond ktk hii song, umejiachia kinoma, yani umecheza vizuri, natamani nikutunze, but be blessed... If you accept like it.....

  87. B.... F....

    This song everlasting... ni 🔥🔥🔥.... Kama umekubali gonga like,,

  88. H.... K....

    I like the song

  89. �.... �....

    تعجبني هاذي الغنية جميلة

  90. B.... F....

    Diamond uko vizuri sana, song la baila ni 🔥🔥 kinoma..... Kaza jombaa 💪💪💪

  91. A.... D....

    Obrigada

  92. G.... C....

    From 255 to the world

  93. �.... �....

    😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  94. M.... A....

    Jab tak hai jan haha

  95. G.... K....

    I love his voice, btw wt language is this?

    G.... K....

    Kiswahili

  96. S.... A....

    Kama unanipenda sana umaarufu weka mbali🔥🔥🔥🔥👍

  97. S.... L....

    Sy labo